KuanzaKutoa Amri kwa VituProgramu 1Programu 2KikokotoziVibadilikavyo: Kukumbuka VituMitungo 1Mitungo 2IngizoIkiwaWakati: Mizingo na Vitu VinavyojirudiaNamba Nasibu na ChaguaFSM: Mashine ya Hali Yenye Kikomo
Mitungo 2

Sasa kwa kuwa unajua jinsi ya kutumia mitungo, unaweza kufanya vitu vya kupendeza. Kushoto ni eneo la Kuprogramu likiwa na jukwaa la maigizo. botmtendaji yupo pale, pamoja na rafiki zake botmsaniime na botmsaniike. Wanaelewa amri za kushoto() na kulia(). Jukwaa lina mapazia yanayoweza kufungua na kufunga kwa amri za fungua() na funga(). Nyuma, kuna kitu pazianyuma. Kama ukikipa amri ya badilika() pamoja na namba, itabadilisha picha inayooneshwa nyuma. Jaribu kuandika programu inayoonekana hapa. Kisha jaribu kutengeneza igizo lako mwenyewe!

|

Programming Basics

Programming Basics: Beginners

Barua Pepe | Kuhusu | Sera ya Faragha