KuanzaKutoa Amri kwa VituProgramu 1Programu 2KikokotoziVibadilikavyo: Kukumbuka VituMitungo 1Mitungo 2IngizoIkiwaWakati: Mizingo na Vitu VinavyojirudiaNamba Nasibu na ChaguaFSM: Mashine ya Hali Yenye Kikomo
Ingizo

Kama unataka kompyuta ikuulize swali, unaweza kutumia amri ya "ingizo". Unaipa amri mtungo wenye swali litakaloulizwa. Dirisha litatokea likiwa na swali, na lazima uandike jibu.

Kompyuta kisha itarudisha jibu kwenye programu yako katika mtungo. Unaweza kuweka mtungo huo kwenye kibadilikacho na kuutumia baadaye. Jaribu.

Unaweza kujaribu kutengeneza michezo ya madlib kwa kutumia ingizo.

|

Programming Basics

Programming Basics: Beginners

Barua Pepe | Kuhusu | Sera ya Faragha