Programming Basics: A website for teaching people how to program
 

Sera ya Faragha

Tovuti ya Programming Basics haikusanyi taarifa zinazomtambulisha mtu kutoka kwa watumiaji wake.

Tovuti ya Programming Basics inaweza kutumia kukiiz au njia nyingine kukusanya taarifa zisizomtambulisha mtu kama vile kivinjari kilichotumika au kurasa zilizotembelewa. Taarifa hii inatumika kwa ndani kuboresha usanifu na maudhui ya tovuti na zinaweza kuripotiwa nje.

Watumiaji watadhihirisha taarifa zinazowatambulisha (kama vile majina na anuani zao za barua pepe) kwa waendeshaji wa tovuti ikiwa wataamua kututumia barua pepe.

Maswali mengine zaid yanaweza kuelekezwa kwa anuani ya barua pepe ifuatayo (Angalizo: waendeshaji wa tovuti wanaelewa Kiingereza tu, kwa hiyo andika barua pepe yako katika Kiingereza):

q u e s t i o n s  @ p r o g r a m m i n g b a s i c s . o r g

Programming Basics

Barua Pepe | Kuhusu | Sera ya Faragha